Muunge kuku kwa viungo kma uzile,chumvi,ndim,tangawiz na thoum muache akolee viungo kw muda usiopungua lisaa limoja
Kisha mpike kuku kwa kutumia fryng pan kw mafta kidog kama hivi
Akishawiva upande mmoja mgeuze wa pili hadi awive wote akauke au mkavuu kisha mtoe na umkate vipande pande vdogo dogo
Tayr kwa kutumia kwa ajili ga kupikia shawarmah ya nyumbani
😋

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni