Jinsi ya kuandaa shawarmah ya kinyumbani
Bada ya kuandaa nyama kama powt iliyopita nyuma
Sasa tunaanda mmkate wa shawarmah
Kanda unga na maji na mafta kidgo adi uwe laini fanya madonge ueke kidg kisha katakata donge na usukume kama chapati ila hii iwe nyembamba sana
Badaye uchome kama chapaati za mgonjwa wa sukar (joking) yaaan ukichoma uciweke mafutaa ata kidogo wakat wa kuchoma chapati hzo
Badaye saasa chukua chapati yako na ueke nyama ya kuku tuliyoandaaa post iliyopita
Ikisha ueke na salad yako nzuri na mayonise kidgo kisha ifunge chapati hio
Tayar kw kuliwa 😋
Hii haitafungwa na kushukilia tishu kwasbabb ni home made shawarmah
Prepared by mirah binty mbarouk Al-hinawy

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni