Jumatatu, 6 Juni 2016

mirah shawarmah

Jinsi ya kuandaa shawarmah ya kinyumbani

Bada ya kuandaa nyama kama powt iliyopita nyuma

Sasa tunaanda mmkate wa shawarmah

Kanda unga na maji na mafta kidgo adi uwe laini fanya madonge ueke kidg kisha katakata donge na usukume kama chapati ila hii iwe nyembamba sana

Badaye uchome kama chapaati za mgonjwa wa sukar (joking) yaaan ukichoma uciweke mafutaa ata kidogo wakat wa kuchoma chapati hzo


Badaye saasa chukua chapati yako na ueke nyama ya kuku tuliyoandaaa post iliyopita
Ikisha ueke na salad yako nzuri na mayonise kidgo kisha ifunge chapati hio
Tayar kw kuliwa 😋

Hii haitafungwa na kushukilia tishu kwasbabb ni home made shawarmah

Prepared by mirah binty mbarouk Al-hinawy


nyama ya kuku ya shawarmah

Jinsi ya kupika nyama ya kuku ya shawarma kinyumbani


Muunge kuku kwa viungo kma uzile,chumvi,ndim,tangawiz na thoum muache akolee viungo kw muda usiopungua lisaa limoja
Kisha mpike kuku kwa kutumia fryng pan kw mafta kidog kama hivi




Akishawiva upande mmoja mgeuze wa pili hadi awive wote akauke au mkavuu kisha mtoe na umkate vipande pande vdogo dogo

Tayr kwa kutumia kwa ajili ga kupikia shawarmah ya nyumbani


😋



Spring roll ya kuku

Uunga nyama ya kuku na uchemshe iive
Ichambua kw kutoa mifupa...chambua vzuri


Andaa roll zako,weka nyama ya kuku ilioungwa vizuri,na cheese kidgo
Funga roll yko vzur
Kaanga kw mafuta
My new blog
This blog include everything about life,news,love and so on